TASWIRA KUTOKA VIWANJA VYA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

TASWIRA KUTOKA VIWANJA VYA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM

IMG00439-20120707-1109
IMG00440-20120707-1110Hapa ni getini ukiwa unaingia hakuna watu wengi kama ambavyo imezoeleka tatizo sijui ni nini 
IMG00441-20120707-1110
 Wakazi Wa Jiji la Dar wakikata Tiketi tayari kwa kuingia uwanjani
IMG00442-20120707-1112
 Foleni hakuna kabisa tofauti na miaka ya nyuma
IMG00443-20120707-1114
IMG00444-20120707-1116
 Ndani kwenye sasa hakuna msongamano wa watu kabisa yani hadi kwa kukanyaga unapaona
IMG00445-20120707-1119
IMG00446-20120707-1120
 Karibu TTCL
IMG00447-20120707-1122
 Hapa ni Kijiji cha Airtel huduma zote zipo hapo
IMG00448-20120707-1123
 Wakazi wa Jiji la Dar wakitembea huku na huku kutazama
IMG00449-20120707-1124
 Upo hapo Mambo ya Vodacom hapo
IMG00450-20120707-1126
IMG00451-20120707-1131
IMG00452-20120707-1131
IMG00453-20120707-1132
IMG00454-20120707-1132
IMG00455-20120707-1133
IMG00456-20120707-1134
 Banda la Wizara ya Maliasili wakazi wengi wajitokeza kuangalia wanyama
IMG00457-20120707-1139
 Wizara ya Ulinzi hapo Kati unakutana na Makomandoo wa Jeshi la Wananchi wa tanzania
IMG00458-20120707-1139
 Mmoja wa Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania wa Kikosi Cha Makomandoo akitoa darasa kwa wakazi waliofika kwenye banda lao
IMG00459-20120707-1208
Na hapa watoto walikua wakichukua taswira huku wamempanda farasi.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages