TAMASHA LA"WAJANJA WA VODACOM"MTWARA FUNIKA MBOVU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TAMASHA LA"WAJANJA WA VODACOM"MTWARA FUNIKA MBOVU

 .Msanii wa Muziki wa kizazi kipya Diamond akicheza vilivyo wakati wa Tamasha la”WAJANJA ”Lililofanyika jana katika uwanja wa  Nang’wanda  Mkoani Mtwara,Tamasha hilo limefanyika katika mikoa mitatu  hapa nchini na litamalizikia mkoa wa Tanga jumapili ijayo likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni wa Vodacom  kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote na kutumia facebook na twitter bure.
 .Msanii Mahiri wa Muziki wa kizazi kipya Nay wa Mitego akiwapagawisha wakazi wa Mkoa wa Mtwara hapo jana katika uwanja wa Nang’wanda mkoani humo wakati wa  Tamasha la”WAJANJA” linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,Tamasha hilo limefanyika katika mikoa mitatu jumapili hii litafanyika katika mkoa wa Tanga likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote na kutumia facebook na twitter bure.
 Umati wa wakazi wa Mtwara  waliomiminika katika uwanja wa Nang’wanda kushuhudia Tamasha la”WAJANJA”hapo jana,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,Jumapili ijayo litafanyika Mkoani Tanga likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote na kutumia facebook na twitter bure.
 Baadhi ya watoto wa Mkoa wa Mtwara wakionyesha vipaji vyao vya kucheza kiduku wakati wa tamasha la”WAJANJA”hapo jana katika uwanja wa Nang’wanda tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litaendelea kufanyika  katika mkoa wa Tanga jumapili ijayo likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote na kutumia facebook na twitter bure.
 Msanii Mkongwe wa Muziki wa kizazi kipya Fid Q akiwapagawisha wakazi wa Mkoa wa Mtwara hapo jana wakati wa tamasha la”WAJANJA” linaendeshwa na Vodacom Tanzania,Jumapili ijayo litafanyika  katika mkoa wa Tanga minne likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote  na kutumia facebook na twitter bure.
 Mwamba wa Kaskazini Joh Makini akiwapagawisha wakazi wa Mtwara katika uwanja wa Nang’wani mkoani humo wakati wa Tamasha la”WAJANJA wa Vodacom”lililofanyika hapo jana mkoani humo likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia huduma za mtandao huo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwenda mtandao wowote kwa shilingi ishirini na tano na kutumia twitter na facebook bure.
 Msanii wa kizazi kipya Shetta kushoto sambamba na Papaa wakiwapagawisha wakazi wa Mtwara hapo jana katika uwanja wa Nangw’anda kwenye Tamasha la “Wajanja”liloandaliwa na Vodacom Tanzania likiwa na lengo la kuwaelimisha awananchi kutumia mtandao huo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishini na tano kwenda mtandao wowote na kuperuzi facebook na twitter bure.
 Msanii wa Muziki wa kizazi kipya Diamond akiimba kwa madaha wakati wa Tamasha la”WAJANJA ”Lililofanyika jana katika uwanja wa  Nang’wanda  Mkoani Mtwara,Tamasha hilo limefanyika katika mikoa mitatu  hapa nchini na litamalizikia mkoa wa Tanga jumapili ijayo likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni wa Vodacom  kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote na kutumia facebook na twitter bure.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Mahusiano  Joseline Kamuhanda(katika)akiwa amepozi kwa picha na wadau katika tamasha la”Wajanja wa Vodacom” Lililofanyika jana katika uwanja wa  Nang’wanda  Mkoani Mtwara,Tamasha hilo limefanyika katika mikoa mitatu  hapa nchini na litamalizikia mkoa wa Tanga jumapili ijayo likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni wa Vodacom  kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote na kutumia facebook na twitter bure.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages