Dr. Faustine Ndugulile.
Hii ni sehemu ya pili na ya mwisho ya mahojiano na Mbunge wa Jimbo la Kigamboni (CCM) Dr. Faustine Ndugulile.
Hii ni sehemu ya pili na ya mwisho ya mahojiano na Mbunge wa Jimbo la Kigamboni (CCM) Dr. Faustine Ndugulile.
Katika
sehemu hii, amezungumzia suala la mgomo wa madaktari na athari zake kwa
nchi. Je! Yeye (ambaye pia ni Daktari) anaamini kuwafutia leseni ni
uamuzi sahihi?.
Tumesherehekea
SIKU YA MASHUJAA NCHINI. Ni kweli kuwa Tanzania TUNA MASHUJAA?
TUNAWAENZI VEMA MASHUJAA (kama wapo) na NI VIPI TUNATENGENEZA MASHUJAA
WAJAO?
Anazungumzia vipi vipaumbele vya matumizi ya serikali kulingana na mahitaji ya mwananchi?
Ni vipi/ ama kwa kiasi gani kuna ushirikiano wa wabunge (hasa vijana) toka vyama mbalimbali ili kuipeleka Tanzania mbele
Imeelezwa
kuwa serikali inachangia 3% ya gharama za mapambano dhidi ya UKIMWI
licha ya kuutangaza kama JANGA LA TAIFA. Ni kweli tuna dhamira ya
kupambana na ugonjwa huu?
Na upi mwito wake kwa waTanzania wote?
KARIBU
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)