Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya ATC, Bi. Suzan Mnafe akisema Hotuba yake wakati Tukio la kufunga Mafuzo Unganishi na Kozi ya Awali
Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha, Dkt. Richard Masika akiwahutubia
Baadhi ya Wahitumu wa Kozi ya Awali na Mafunzo unganishi kwa ajili ya
kujiunga na Shashahada za Uhandisi.
Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Mh. Mercy Silla atoa neno kwenye Tukio la Kufunga Mafunzo Unganishi na Kozi ya Awal
Mwakilishi wa Naibu Waziri wa WEMU, Bw. David Kazuva (Mkurugenzi wa
Elimu na Mafunzo ya Ufundi), akiwahutubia baadhi ya wanafunzi
waliohitimu Kozi ya Pre-Entry Course na Bridging Course
Baadhi ya Wahitimu wakiwa katika Picha ya Pamoja na Mgeni rasmi
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)