RAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN AMUAPISHA WAZIRI WAZIRI MPYA WA MIUNDOMBINU BAADA YA WA AWALI KUTANGAZA KUJIUZULU JUZI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN AMUAPISHA WAZIRI WAZIRI MPYA WA MIUNDOMBINU BAADA YA WA AWALI KUTANGAZA KUJIUZULU JUZI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Rashid Seif Suleiman, kuwa Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano, wakati wa  hafla fupi iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Sheikh Daudi Khamis Salim,  kuwa Kadhi wa Rufaa Pemba, wakati wa hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar jana.
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, akisalimiana na Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kiapo cha Waziri Mpya wa Miundombinu,Rashid Seif Suleiman, katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar Jana.Picha na Ramadhan Otrhman,Ikulu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages