Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akibadilishana mawazo na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck
Sadik, baada ya kumalizika hafla ya Maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya
Mashujaa,yaliyofanyika leo katika viwanja vya Mnazi mmoja palipojengwa
Mnara Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam,Didas Mtatiro,
wakati wa Maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mashujaa,yaliyofanyika
leo katika viwanja vya Mnazi mmoja palipojengwa Mnara Jijini Dar es
Salaam
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na baadhi ya Wazee waliopigania Uhuru wa Tanzania
wakati wa Maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mashujaa,yaliyofanyika
leo katika viwanja vya Mnazi mmoja palipojengwa Mnara Jijini Dar es
Salaam
Baadhi
ya Wananchi wa Jijini Dar es Salaam waliohuduria katika Maadhimisho ya
siku ya kumbukumbu ya Mashujaa,yaliyofanyika leo katika viwanja vya
Mnazi mmoja palipojengwa Mnara Jijini Dar es Salaam,wakifuatilia kwa makini utaratibu wa shuhuli ulivyoendelea.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)