Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania,wakiongozwa na Waziri wa Ulinzi Mhe,Shamsi Vuai
Nahodha,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumpa pole Rais kutokana na
ajali ya Meli ya Mv SKAGIT ya Kampuni ya SEAGUL iliyotokea juzi
ikitokea Dar es Salaam kwenda Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania,wakiongozwa na Waziri wa Ulinzi Mhe,Shamsi Vuai
Nahodha,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumpa pole Rais kutokana na
ajali ya Meli ya Mv SKAGIT ya Kampuni ya SEAGUL iliyotokea juzi
ikitokea Dar es Salaam kwenda Zanzibar.Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu-Zanzibar
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)