Meneja wa
huduma kwa wateja wa benki ya NMB tawi la Same , Anna Efrem (kushoto) akikabidhi
zawadi kwa mwanafunzi Omari Silayo baada ya kuibuka mshindi wa kwanza kwa
wanafunzi wa shule ya msingi Majengo iliyopo wilayani Same,kujibu maswali vizuri juu ya ufahamu wa
masuala ya kibenki kuhusu mpango wa NMB Financial Fitness uliozinduliwa na
benki hiyo kwa watoto wilayani humo.PICHA NA GLADNESS MUSHI,
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)