Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini
Dkt. Alberic Kacou akisalimiana na mpiga picha wa gazeti la Daily News
Yusuf Badi Katika maonyesho ya 36 ya biashara ya Kimataifa
yanayoendelea katika viwanja vya Julius Nyerere barabara ya Kilwa jijini
Dar.
Dkt. Alberic Kacou (kulia) akikaribishwa
na Msaidizi (Ushirikishwaji Habari Umma) wa UNHCR Bw. Austin Makani
alipotembelea katika banda la Umoja wa Mataifa Tanzania.
Bw. Austin Makani (kushoto) akitoa
maelezo kwa Dkt. Kacou kuhusiana na shughuli zinazofanyika katika banda
hilo wakati wa maonyesho hayo.
Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini
Dkt. Alberic Kacou (katikati) akizungumza na Afisa Mawasiliano wa
Shirika la Kazi nchini (ILO) Bw. Magnus Minja (kulia) pamoja na
Bw.Austin Makani wa UNHCR alipotembelea banda la Umoja wa Mataifa.
Dkt. Kacou (kulia) akipata maelezo
kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mata Enterprises Company Bi. Tabby Oguma
ambaye ni mmoja wa wajasiriamali wanaowezeshwa na shirika la Kazi
Duniani (ILO) kuhusu bidhaa wanazotengeneza ikiwemo jiko la kupikia
(Cooking Basket).
Dkt. Alberic Kacou akitazama magauni ya Batiki yanayotengenezwa na Kampuni hiyo.
Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa Dkt.
Alberic Kacou akiweka saini kitabu cha wageni katika banda la UN
Tanzania lililopo katika banda kubwa la Ali Hassan Mwinyi katika
maonyesho ya 36 ya Sabasaba yanayoendelea jijini Dar. Kulia ni Bw.
Magnus Minja wa ILO na Kushoto ni Bw. Austin Makani wa UNHCR.
Dkt. Alberic Kacou katika picha ya
pamoja na wafanyakazi shirika la Umoja wa Mataifa wanaotoa huduma
katika banda la shirika hilo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)