KUTOKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

KUTOKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA LEO

 Naibu Waziri wa Afya Dkt. Seif Rashid (kulia) akibadilishana mawazo na Wabunge wa viti maalum Zarina Madabida (kushoto) na Zainab Vullu (katikati) katika viwanja vya Bunge  mjini Dodoma leo. 
  Mbunge wa Simanjiro,  Christopher Ole Sendeka, (kushoto) akibadilishana mawazo na Mbunge wa Ubungo, John Mnyika, leo katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
   Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI-ELIMU)  Majaliwa Kassim Majaliwa, akijibu  hoja zinazohusu wizara yake Bungeni, mjini Dodoma leo.
1-      Mbunge wa Monduli, Edward Lowasa  (kushoto) na Mbunge wa Viti Maalum, Diana Chilolo, wakifuatilia taarifa za Bunge wakati wakiwa katika Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma, leo.Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages