KASEBA VS CHEKA KUONESHANA UMWAMBA SIKU YA SABA SABA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KASEBA VS CHEKA KUONESHANA UMWAMBA SIKU YA SABA SABA

Msanii wa Filamu Nchini Jaqlin Wolper akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam leo kuhusu mpambano wake wa masumbwi na Wema Sepetu utakaofanyika Katika uwanja wa Taifa siku ya sabasaba
Kocha wa bondia Wema Sepetu ambani Msanii Bondia Rashidi Matumla akiongea kwa niaba wakati wa kutambulisha mpambano uho leo
Moja ya mabango yanayonesha kuwepo na mpambano wa Francis Cheka na Japhert Kaseba likiwa limewekwa makutano ya Barabara ya Uhuru na Msimbazi kwa ajili ya kuamasisha Tamasha la matumaini litakalofanyika Katika uwanja wa taifa Dar es salaam na burudani kibao kutoka kwa wasanii mbalimbali nchini. picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages