Hitma ya Waliokufa kwa Ajali ya Meli hivi karibuni - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Hitma ya Waliokufa kwa Ajali ya Meli hivi karibuni

 Rais wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein,(wa tano kushoto) pamja na Viongozi wengine wa Serikali wakiungana na Waislamu   katika Swala ya kuwaombea Dua Abiria waliofariki katika Ajali ya Meli Mv Skagit ya
Kampuni ya Seagul,iliyozama hivikaribuni ikitokea Dar es Salaam kuelekea Zanzibar,swala hiyo ikiongozwa na Mufti wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi,katika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Zanzibar leo.
  Rais wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein,(wa tano kushoto) pamja na Viongozi wengine wa Serikali wakiungana na Waislamu   katika Swala ya kuwaombea Dua Abiria waliofariki katika Ajali ya Meli Mv Skagit ya Kampuni ya Seagul,iliyozama hivikaribuni ikitokea Dar es Salaam kuelekea Zanzibar,swala hiyo ikiongozwa na Mufti wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi,katika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Zanzibar leo.
 Rais wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein,(katikati) pamja na Viongozi wengine wa
Serikali wakiungana na Waislamu   katika Hitma ya  kuwaombea Dua
Abiria waliofariki katika Ajali ya Meli Mv Skagit ya Kampuni ya
Seagul,iliyozama hivikaribuni ikitokea Dar es Salaam kuelekea
Zanzibar, katika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Zanzibar leo.[Picha na
Ramadhan Othman Ikulu.]
 Baadhi ya Waislamu  waliohudhuria katika  Hitma ya kuwaombea Dua Abiria waliofariki katika Ajali ya Meli Mv Skagit ya Kampuni ya Seagul,iliyozama hivikaribuni ikitokea Dar es Salaam kuelekea Zanzibar, katika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Zanzibar leo.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages