Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Askofu Elisha Buberwa wa
Kanisa la KKKT, Kagera, aliyefika kumtembelea Ikulu jijini Dar es salaam
leo July 19, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe maalum toka kwa Rais Pierre
Nkurunzinza wa Burundi uliowasilishwa na Mjumbe Maalum wa Rais wa
Burundi Mhe Mohamed Rukara ambaye pia ndiye Ombudsman wa Burundi, Ikulu
jijini Dar es salaam leo July 19, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mjumbe Maalum Mhe Mohamed Rukara ambaye pia ndiye Ombudsman wa Burundi aliyemletea ujumbe toka kwa Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi leo. Kushoto ni
Balozi wa Burundi nchini Tanzania Mhe Issa Mtambulka na kulia ni Afisa
mwandamizi wa Serikali ya nchi hiyo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma ujumbe aliopewa na Mjumbe Maalum wa
Rais wa Burundiu Mhe Mohamed Rukara ambaye pia ndiye Ombudsman wa
Burundi leo July 19, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais na Mtendaji Mkuu wa
Shirika lisilo la Kiserikali la Pathfinder International alipomtembelea
Ikulu jijini Dar es salaam leo July 19, 2012. PICHA NA IKULU











No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)