WAZIRI MKUU PINDA AFUNGUA MAFUNZO YA WAKUFUNZI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

WAZIRI MKUU PINDA AFUNGUA MAFUNZO YA WAKUFUNZI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua Mafunzo ya Wakufunzi wa Sensa ya Watu na Makazi, Ngazi ya Taifa kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango Mjini Dodoma Juni 23,2012.
 Baadhi ya Washiriki wa Mafunzo ya Wakufunzi wa Sensa ya Watu na Makazi, Ngazi ya Taifa  wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua Mafunzo hayo kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango Mjini Dodoma Juni 23, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiagana na Waziri wa Fedha, Dktwilliam Mgimwa baada ya kufungua  Mafunzo wa Wakufunzi wa  wa Sensa ya Watu  na Makazi ya Mwaka  2012 Ngazi ya Taifa kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango Mjini Dodoma Juni 23, 2012. Kulia ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wazara ya Fedha, Servacius Likwelile na Wapili kushoto ni Kamishina wa Sensa, hajat Amina Mrisho  Said.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages