WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKIWA BUNGENI MJINI DODOMA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKIWA BUNGENI MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wanachuo wa Chuo cha Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa cha Hombolo, Dodoma kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Juni 14, 2012.
Waziri Mkuu, MizengoPinda akizungumza na Mbunge wa Sengerema., William Ngeleja kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 14, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages