Washiriki Shindano la Redds Miss World Tanzania 2012 wajifua vilivyo - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Washiriki Shindano la Redds Miss World Tanzania 2012 wajifua vilivyo

washiriki hao wakiwa katika picha ya pamoja na mwalimu wao Miss Tanzania 2012, Salha Izrael. 
 Warembo waliojitokeza kuwania nafasi ya Kuiwakilisha Tanzania katika shindano la mwaka huu la Miss World 2012, wanaendelea na mazoezi yao katika kambi yao iliyopo Hoteli ya Giraffe Ocean View nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.

Shindano hilo maalum lijulikanano kama  Redds Miss World Tanzania 2012 linataraji kufanyika  siku ya Jumamosi June, 2012 katika ukumbi mpya wenye hadhi ya kimataifa wa 327 Club, uliopo Mikocheni.
 
 
Warembo waliongia kambini na Kunolewa na Miss Tanzania 2011, Salha Izrael ni pamoja na 
 
1.     Gloryblaca Mayowa      (Lindi)
2.     Hamisa Hassan              (Kinondoni)
3.     Queen Saleh                   (Ilala)
4.     Christine Willium        (Iringa)
5.     Pendo Laizer                  (Arusha)
6.     Lisa Jensen                    (Mara)
7.     Mwajabu Juma              (Temeke)
8.     Neema Saleh                  (Ilala)
9.     Jeneffer Kalolaki           (Ilala)
10.   Stella Mbuge                  (Kinondoni)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages