Spika wa Bunge Bi. Anna Makinda kulia akiongea na
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw. Rene Meza na Ofisa mahusiano
Mkuu wa Vodacom Mwamvita Makamba. Viongozi wa Vodacom walipomtembelea
Spika ofisini kwakwe mjini Dodoma leo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza
(wa kwanza kulia) akifuatiwa na Ofisa Mkuu wa Mahusiano wa kampuni hiyo
Mwamvita Makamba wakiwa pamoja na wajumbe wa kamati ya Bunge ya
miundombinu. Vodacom ilikutana na kamati hiyo leo mjini Dodoma
kujitambulisha na kuzungumzia uwekezaji wa Vodacom nchini.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu Peter
Serukamaba akiongoza kikao cha pamoja kati ya kamati yake na uongozi wa
kampuni ya Vodacom Tanzania iliyotembelea kamati hiyo leo mjijini Dodoma
kwa lengo la kujitambulisha na kuzungumzia uwekezaji wa Vodacom nchini.
Wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Rene Meza akifuatiwa
na Ofisa Mkuu Mahusiano wa kampuni hiyo Mwamvita Makamba
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)