Mkuu
wa Wilaya ya Morogoro, Saidi Amanzi (kushoto) akifungua maji kutoka
katika bomba mara baada ya kuzindua kisima kipya kilichochindwa kwa
msaada wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kwa gharama ya sh. mil. 25,
kwa ajili ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro, wakati wa hafla
iliyofanyika hospitalini hapo juzi. Anayenawa ni Mkurugenzi wa Uhusiano
na Sheria wa TBL, Steve Kilindo ambaye alikabidhi kisima hicho.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)