Mwanasheria mkuu wa Serikali(AG) Jaji
Frederick Mwita Werema(kulia) akibadilishana mawazo na Mbunge wa Kigoma
Kusini David Kafulila(kushoto) wakibadilishana mawazo mjini Dodoma
mara baada ya kipindi cha maswali na majibu kumalizika.
Naibu Spika wa bunge la Tanzania Job
Ndugai(kushoto) akiwa na Mbunge wa Iramba mashariki Mwigulu
Nchemba(kulia) wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma mara baada ya
kipindi cha maswali na majibu ya kikao cha pili cha Mkutano wa nane wa
Bunge kumalizika.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,
Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa(TAMISEMI) Hawa Ghasia (kushoto)
wakibadishana mawazo (leo) mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Kazi na
Ajira Dkt. Milton Makongoro Mahanga(kulia) mara baada ya kipindi cha
maswali na majibu ya kikao cha pili cha Mkutano wa nane wa Bunge
kumalizika.
Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za
Serikali
na pia Mbunge wa Bariadi Mashariki John Cheyo(kulia) ,Naibu Waziri wa
Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia January
Makamba(katikati) na Andrew Chenge(kushoto) wakibadishana mawazo (leo)
mjini Dodoma mara baada ya kipindi cha maswali na majibu ya
kikao cha pili cha Mkutano wa nane wa Bunge kumalizika.
Mwenyekiti wa Simba Sport Club ambaye pia
ni Mbunge wa Tabora mjini Ismail Aden Rage(kushoto) akibadilishana
mawazo na Naibu Waziri wa Maji Dkt Binilith Satano Mahenge (kulia) leo
mjini Dodoma mara baada ya kipindi cha maswali na majibu kumalizika.
Waziri wa Mambo ya Ndani Dkt. Emmanuel
Nchimbi(kushoto) , Naibu Waziri wa Habari, vijana ,Utamaduni na Michezo
Amos Makalla(katikati) na Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Anna Abdallah
wakibadishana mawazo (leo) mjini Dodoma mara baada ya kipindi cha
maswali na majibu ya kikao cha pili cha Mkutano wa nane wa Bunge
kumalizika.
Waziri wa Nchi ofis ya Rais (Utawala Bora)
George Mkuchika(kulia) akijadiliana jambo mjini Dodoma na Mbunge
wa Jimbo la Tanga mh. Omar Nundu (kushoto) mara baada ya kipindi cha
maswali na majibu ya kikao cha pili cha Mkutano wa nane wa Bunge
kumalizika.Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO-Dodoma





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)