Hali ya afya ya Dkt. Steven Ulimboka inaendelea vyema baada ya
kushambuliwa na watu wasiofahamika usiku wa kuamkia juzi jijini Dar es
Salaam.Ulimboka anaendelea kupata matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhumbili
(MNH), Kitengo cha mMifupa (MOI) aliko lazwa katika chumba cha wagonjwa
mahututi (ICU) huku jopo la madaktari Bingwa wakiendelea kumnusuru Kama aonekanavyo pichani juu.Picha na Mdau Dande Francis
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)