MADIRISHA VIDEO’S PRODUCTIONS.
TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI
27/06/2012
YAH:
REDD’S MISS UBUNGO 2012 YAPATA WADHAMINI.
Mashindano
ya Urembo ya Redd’s Miss Tanzania 2012 yanaendelea kwa kasi kubwa na kwa wiki
hii kutakuwa na shindano moja kubwa hapa jijini Dar es salaam ambapo kituo cha
Ubungo yaani “REDD’S MISS UBUNGO 2012” kitakuwa kikifanya shindano lake.
Shindano
hili litafanyika Ijumaa hii ya tarehe 29
/ 06 / 2012 katika Ukumbi wa Hotel
ya LANDMARK iliyopo ubungo kuanzia saa mbili usiku..
kiingilio
katika shindano hili kimepangwa kuwa tsh. 10,000/= tu na burudani
itakayosindikiza shindano hili itatoka kwa bendio ya FM ACADEMIA (wazee wa ngwasuma)
kituo
hiki cha miss ubungo ndicho kilichomtoa Miss Tanzania 2004 FARAJA KOTTA, hivyo
ni mategemeo yetu tutatoa tena Miss Kinondoni na hatimae ndie atakaekuwa REDD’S
MISS TANZANIA 2012.
Jumla
ya warembo kumi na sita wamejitokeza kuwania taji hili wakiwa chini ya mwalimu
wao BEATRICE JOSEPH ambaye alikuwa Miss Ruvuma 2004 na kwa upande wa shoo ya ufunguzi
wanafundishwa na BOKILO ambaye ni mwanamuziki kutoka TOT BAND.
Majina
ya washiriki ni yafuatayo:-
1.ASHA
MUSA (20) 2.
FOTUNE ANDE (22).
3.MWATUMU
MUSTAPHA (21) 4.ZAWADI
GULABA (18)
5.LILIAN
KENNEDY (21) 6.DALINE
MMALY (19)
7.AXER
PETER (20) 8.NASRA DAFFA (22)
9.JOYCE
RAPHAEL (20) 10.PRINCES
REMMY (20)
11.
MWANAIDI RAMADHANI (20) 12.ZENA
ALLY (18)
13.
DORICE CHILONGOLA (20) 14.SUZAN
STANLEY (21)
15.ADAIYA
AHMED (22) 16.
SAHY PAUL (22)
Shindano
hili limedhaminiwa na:-
REDD’S, MBEKENYELA
TRANSPORT, LADY PEPETA, FLEXIP, NAEEMS CLASSIC WEAR na CLOUD’S FM.
SAID
MADIRISHA
MKURUGENZI.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)