Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya
Sahrawi Mhe, Mohamed Abdelaziz katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya leo Jumapili Juni 25, 2012
ambapo gwaride la Kijeshi na ngoma za utamaduni zilimlaki kwa nderemo.
PICHA NA IKULU
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)