Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimuonesha mgeni wake
Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Saharawi Mhe.Mohamed Abdelaziz picha ya waasisi wa
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Hayati Mwalimu Julius Nyerere na Hayati
Abeid Karume wakibadilishana hati za muungano muda mfupi baada ya Rais Kikwete
na mgeni wake kumaliza mazungumzo rasmi ikulu jijini Dar es Salaam leo.Mhe.Mohamed
Abdelaziz Rais wa Jamhuri ya kiarabu ya
Saharawi aliwasili nchini jana jioni kwa ziara ya kikazi ya siku mbili
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha
ikulu jijini Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Saharawi Mhe.Mohamed
Abdelaziz leo asubuhi.(picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)