Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete, akihutubia wananchi na wagonjwa, wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Uhamasishaji wa Matibabu ya Fistula Tanzania ,katika viwanja vya Mnazi mmoja leo.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA ,akiwa
amemshika mtoto mchanga baada ya kukabidhiwa na wazazi wake baada ya
ushuhuda walioutoa wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Uhamasishaji wa
Matibabu ya Fistula- Tanzania ,katika viwanja vya Mnazi mmoja leo.
Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya CCBRT Dkt. Wilbroud Slaa.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa CCBRT, Erwin Telemans, akitoa maelezo wakati wa Uzinduzi wa
Kampeni ya Uhamasishaji wa Matibabu ya FISTULA Tanzania , leo katika
viwanja vya Mnazimmoja jijini Dar eSalaam , Uzinduzi rasmi umefanywa na
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete.
Baadhi
ya wananchi waliohudhuria uzinduzi wa Kampeni ya Uhamasishaji wa
matibabu ya Fistula Tanzania leo katika viwanja vya Mnazi mmoja.
|
Mrisho Mpoto, akitoa burudani wakati wa hafla hiyo.Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)