MDAU KAJUNASON AZINDUA KIOTA KIPYA CHA FRENDS PUB MAENEO YA KINONDONI BIAFRA BLOCK 41 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MDAU KAJUNASON AZINDUA KIOTA KIPYA CHA FRENDS PUB MAENEO YA KINONDONI BIAFRA BLOCK 41

Eneo la kupata moja baridi na moja moto, Nyama choma, Supu aina zote, vyakula vya kila aina, Chips na burudani ya muziki unaokurudisha enzi zile za kina naniliu. unaweza kupata kutoka eneo hili la Mdau Kajunason mzee wa Mtandao wa Kajunason Blogspot, lililopo eneo la Kinondoni Biafra Block 41.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages