Wananchi
hao wakiwemo waTanzania walikusanyika katika viwanja vya Down Town
Washington DC siku ya Jumamosi June,2,2012 katika kuitikia wito wa
kuunga mkono wanawake ambao wanakabiliwa na ugonjwa wa saratani ya
maziwa, utafiti na elimu dhidi ya ugonjwa huo
Tukio hili liliaza kwa matembezi ya vikundi vya mataifa mbali mbali wanaoishi hapa nchini marekani
Kina
dada wwakiwa katika matembezi ya kupiga vita ugonjwa wa saratani ya
maziwa siku ya Jumamosi June,2,2012 ndani ya washington D.C nchini
Marekani.
Latino Team pia hawakujiweka nyuma kupiga vita ungonywa huo hatari unaowapa tabu kina Mama
Mamia ya wananchi wakiwa katika matembezi ya Susan G.Komen. 2012! Down Town Washington DC
Rais
wa Jumuia ya waTanzania DMV Mh. Iddi Sandaly, wakwanza kushoto, Waheeda
Margaret Gathesha, Chief wa swahilivilla Abou Shatry, Aunt Rehema,
pamoja na Salma Jay Jay pia alikuwepo katika matembezi ya kupigana na
ujongwa wa saratani ya maziwa hapa Washington DC.
Wazawa
wa kitanzania wanaoishi nchini marekani wakiwa katika matembezi ya
kupiga vita ogonjwa wa saratani ya maziwa mapema leo jumamosi
June,4,2011 ndani ya washington D.C nchini marekani.
Team
Tanzania waki wakiwa kipata picha ya pamoja katika kuitikia wito wa
kuunga mkono wanawake ambao wanakabiliwa na ugonjwa wa saratani ya
maziwa, utafiti na elimu dhidi ya ugonjwa huo.
Ghana
Team pia walishiriki katika zowezi zima la Susan G.Komen. kumaliza vita
dhidi ya maradhi ya Saratani ya Maziwa Susan G.Komen. 2012
Team
Tanzania baada ya kumaliza matembezi ya Susan G.Komen. dhidi ya kupiga
vita maradhi ya Saratani ya maziwa. (Picha maelezo na swahilivilla.blogspot.com)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)