Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo Mama Salma
Kikwete akiwahutubia washiriki wa mkutano wa Global Network of
Religions for Children (GNRC) wakati wa chakula cha jioni huko
Kilimanjaro hoteli tarehe 17.6.2012.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea zawadi kutoka kwa Rev.Keishi
Miyamoto, Rais wa Arigatou International and Chairman of the Board of
Myochikai kutokana na mchango wake mkubwa juu ya malezi ya watoto wakati
wa chakula cha jioni kilichofanyika katika hoteli ya Kilimanjaro jijini
Dar es Salaam kwenye mkutano wa Global network of Religions for
Children (GNRC) tarehe 17.6.2012.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo na Mke wa Rais Mama Salma
Kikwete akizungumza na Rais wa Arigatou International and Chairman of
the Board of Myochikai Rev. Keishi Miyamoto wakati wa chakula cha usiku
kilichofanyika katika hoteli ya Kilimanjaro tarehe 17.6.2012.Picha Zote na John Lukuwi
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)