Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza jambo na Katibu wa Umoja wa Watanzania, waishio nchini Brazil, Heri Juma Mbwana, wakati alipokutana nao katika hafla ya chakula cha jioni na mazungumzo, iliyofanyika katika Hoteli ya Arena, Rio de Jeneiro, jana Juni 22, 2012
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza jambo na mmoja kati ya wajumbe wa Umoja wa Watanzania, waishio nchini Brazil, , wakati alipokutana nao katika hafla ya chakula cha jioni na mazungumzo, iliyofanyika katika Hoteli ya Arena, Rio de Jeneiro, jana Juni
22, 2012.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mwenyekiti wa Umoja wa Watanzania, waishio nchini Brazil, Ally Abdaul Faraji, baada ya kumaliza hafla wakati alipokutana nao katika hafla hio fupi ya chakula cha jioni na mazungumzo, iliyofanyika katika Hoteli ya Arena, Rio de Jeneiro, jana Juni 22, 2012. Kushoto ni Mke wa Makamu wa Rais, Mama Zakhia Bilal
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Mke wa Makam wa Rais, Mama Zakhia Bilal,Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Maadhi Juma Maalim, Balozi wa Tanzania nchini Brazil Francis Malambugi, na Balozi Liberata Mulamula, wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Umoja wa Watazanaia, wakati alipokutana nao viongozi hao wa moja wa Watanzania, waishio nchini katika hafla ya chakula cha jioni na mazungumzo, iliyofanyika katika Hoteli ya Arena, Rio de Jeneiro, jana Juni 22, 2012
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza Viongozi wa Umoja wa Watanzania, waishio nchini Brazil, wakati alipokutana nao katika hafla ya chakula cha jioni na mazungumzo, iliyofanyika katika Hoteli ya Arena, Rio de Jeneiro, jana Juni 22,
2012. Kulia ni Mama Zakhia Bilal (kushoto) ni Balozi wa Tanzania, nchini Brazil, Francis Malambugi
Katibu wa Umoja huo, akizungumza na kusoma risala yao kwa Mhe, Makamu wa Rais, Dkt.Bilal.Picha na Muhidin Sufiani-OMR
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)