Mwenyekiti
wa Kamati ya tuzo za Chama cha waandishi wa habari za michezo TASWA Bw.
Masod Saanane akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa City
Sports Lounge jijini Dar es salaam leo, kulia ni katibu mkuu wa TASWA
Amir Mhando
MAJINA YA WALIOTEULIWA KUWANIA TUZO YA WANAMICHEZO BORA MWAKA
2011/MWANAMICHEZO BORA WA TANZANIA MWAKA 2011, ITAKAYOFANYIKA JUNI 14 MWAKA HUU
KIKAPU:
WANAWAKE
DORITHA MBUNDA :-JKT
QUEENS
EVODIA KAZINJA:-JKT
QUEENS
FARAJA MALAKI:-JESHI STARS
WANAUME
ALPHA KISUSI-Vijana
FILBERT MWAIPUNGU:-ABC
GILBERT BATUNGI:-ABC
NETIBOLI:
LILIAN SYLIDION
DORITHA MBUNDA
GOFU
WANAWAKE:
Madina Iddi (Umri miaka 27)
Hawa Wanyeche (Umri miaka 26)
Ayne Magombe (Umri miaka 24)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)