Mkurugenzi wa kamati ya Miss Tanzania Bw. Hashim Lundenga akizungumza
na warembo wanaoshiriki shindano la kumtafuta malkia wa kitongoji cha
Chang'ombe yaani Miss Chang'ombe linalotarajiwa kufanyika jumamosi ijayo
kwenye ukumbi wa Quality Center jijini Dar es salaam, kamati ya Miss
Tanzania imetembelea mazoezi ya warembo hao leo jioni katika viwanja vya
TCC Sigara Chang'ombe.
Warembo wa Miss Changombe wakipozi kwa picha wakati wa mazoezi yao leo.
Mkurugenzi wa
kamati ya Miss Tanzania Bw. Hashim Lundenga akisisitiza jambo wakati
alipoongea na warembo hao leo, kutoka kushoto ni Aidan Rico Afisa
uhusiano Miss Tanzania , mmoja wa warembo walioshika nafasi za juu miss
Tanzania mwaka jana na Albert Makoye mkuu wa itifaki Miss Tanzania.
Warembo wakiwa katika mazoezi ya shoo ya ufunguzi.
Warembo wa Miss Changombe wakipozi kwa picha wakati wa mazoezi yao leo.
Warembi wakiaza rasmi mazoezi yao mara baada ya mazungumzo na kamati ya Miss Tanzania.
Kutoka kushoto ni Hashim Lundenga, Bosco Majaliwa na baadhi ya warembo waliohudhuria katika mazoezi hayo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)