Raisi wa Kitivo Cha Sayansi ya Jamii, Sanaa na lugha Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Mh Iddy Mohamed (Wa Kwanza Kulia) akishauriana jambo na Waziri Mkuu wa Kitivo hiko Mh Shauri Kabla ya zoezi la kuwaapisha wateule wake leo ndani ya Chuo Kikuu Cha Dodoma
Pichani Juu Ni baadhi ya mawaziri na manaibu waziri wa wizara mbalimbali katika serikali ya wanafunzi Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) wakati wanakula viapo mbele ya Raisi wa Kitivo Cha Sayansi ya Jamii, Sanaa na Lugha Mh Iddy Mohamed (hayupo Pichani)
Naibu waziri wa Ulinzi, Maji na Makazi Mh Amani Kizuguto Akiwa anakula kiapo wakati baraza la mawaziri lilipokua likiapishwa leo Chuoni hapo
Waziri Mkuu Wa Serikali ya Wanafunzi wa Kitivo Cha Sayansi ya Jamii,Sanaa na Lugha Mh Shauri akiwa anakula kiapo mbele ya Raisi wa Kitivo hiko ( Hayupo Pichani) leo wakati baraza la mawaziri lilipokua likiapishwa leo chuo hapo
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)