Waheshimiwa wabunge wakifuatilia hotuba ya waziri wa fedha Alipokuwa Akiwasilisha bungeni.
Mabalozi pia Walikuwemo kutoka Nchi mbali mbali Wanao wakilisha Nchizao hapa Nchini.
Wabunge wa bunge la Afrika Mashariki pamoja na wageni mbalimbali, wakiserikali Walioudhulia Bunge la Bajeti.
Mh
Zuberi Zitto kabwe, Hakubaki nyuma kuzungumzia mchakato mzima wa
Bajeti ya Nchi nakudai kwamba bajeti hii ni ya mjini sio ya vijjini.
Prf Ibrahim
Lipumba Akifanya maojiano na waandishi wa habari Nje ya viwanja vya
bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania, kuhusu mchakato mzima wa
Bajeti.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)