Waziri Mkuu Mizengo Pinda Amtembelea Waziri Asie na Wizara Maalum Profesa Mark Mwandosya - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Waziri Mkuu Mizengo Pinda Amtembelea Waziri Asie na Wizara Maalum Profesa Mark Mwandosya

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Waziri asie na Wizara Maalum Profesa Mark Mwandosya wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Kunduchi jijini Dar es salaam  kumjulia hali May 7, 2012.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri asie na Wizara Maalum Profesa Mark Mwandosya wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Kunduchi jijini Dar es salaam  kumjulia hali , May 7, 2012. Katikati ni Mke wa Waziri huyo, Mama Lucy Mwandosya.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika mazungumzo na Waziri  asie na Wizara Maalum Profesa Mark Mwandosya wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Kunduchi jijini Dar es salaam  kumjulia hali May 7, 2012. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages