Waziri Mkuu,. Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia
(kushoto) na Waziri wa Zamani na mwanasiasa mkongwe, Mzee Kingunge
Ngombale Mwiru katika Kikao cha Wakuu wa Mikoa na Wilaya pamoja na
Makatibu Tawala wa Mikoa kwenye Kituo cha mikutano cha St. Gaspar Mjini
Dodoma May 21,2012.
Waziri wa zamani na Mwanasiasa mkongwe Kingunge Ngombale Mwiru akitoa
mada katika Kikao cha Wakuu wa Mikoa na Wilaya na Makatibu Tawala wa
Mikoa kwenye Kituo cha Mikutano cha St.Gaspar Mjini Dodoma May 21, 2012.
Baadhi ya washiriki wa Semina ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya pamoja na
Makatibu Tawala wa Mikoa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati
alipofungua kikao chao kwenye Kituo cha Mikutano cha St. Gaspar Mjini
Dodoma May 21, 2012.

Dodoma May 21, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)