Ofisa Mkuu wa huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania Charity Safford,
akianzisha msafara wa magari yaliyobeba wafanyakazi wa Vodacom kwenda
mitaani jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuwaelimisha wateja wao
kuhusu namna ya kunufaika na kampeni ya "WAJANJA",Inayomwezesha mteja
wa Vodacom kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi 25
kwa mtandao wowote hapa nchini na kutumia facebook na twitter bure.
Mmoja
wa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania akimpatia kipeperushi mkazi wa
jijini Dares Salaam wakati wafanyakazi hao walipoenda mitaani kwa ajili
ya kuwaelimisha wateja wao kuhusu kwa kunufaika na kampeni ya
"WAJANJA",Inayomwezesha mteja wa Vodacom kuongea kwa robo shilingi na
kutuma ujumbe kwa shilingi 25 kwa mtandao wowote hapa nchini na kutumia
facebook na twitter bure.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Mahusiano wa Vodacom Tanzania
Bi.Joseline Kamuhanda,akiongea na waandishi wa habari jijini Dares
Salaam wakati wafanyakazi wa Kampuni hiyo walipoenda mitaani kwa ajili
ya kuwaelimisha wateja wao kuhusu na kunufaika na kampeni ya
"WAJANJA",Inayomwezesha mteja wa Vodacom kuongea kwa robo shilingi na
kutuma ujumbe kwa shilingi 25 kwa mtandao wowote hapa nchini na kutumia
facebook na twitter bure.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)