SUPER D BOXING COACH AKABIZIWA CHETI CHA KUTAMBUA UWEZO WAKE WA KUSAPOTI MCHEZO MASUMBWI KUSONGA MBELE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

SUPER D BOXING COACH AKABIZIWA CHETI CHA KUTAMBUA UWEZO WAKE WA KUSAPOTI MCHEZO MASUMBWI KUSONGA MBELE

Rajabu Mhamila 'SUPER D BOXING COACH' akipokea cheti kutoka kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, David Misime cha kutambua mchanmgo wake wakati wa Mpambano wa Francis Cheka na Mada Maugo SUPER D ambaye ni Kocha wa Masumbwi na Mtaalishaji wa DVD za masumbwi zinazofundisha sheria na mbinu za mchezo huo akichanganya na mabondia wa kimataifa pia amekuwa akitoa vifaa vyake mwenyewe kwa ajili ya kuchezea mapambano ya kimataifa zikiwemo glove na vifaa vingine mbalimbali
Super D Boxing Coach akiwa na wadau mbalimbali ambao nao wametambuliwa kwa kusapoti mchezo wa masumbwi nchini
Super D Boxing Coach akiwa na wadau mbalimbali ambao nao wametambuliwa kwa kusapoti mchezo wa masumbwi nchini
Super D Boxing Coach katikati akiwa ameshika cheti chake kushoto ni Fadhili Swala wa Mlimani TV, Mkandemba wa Tanzania Daima na kulia ni Rais wa TPBO Yasini Abdallah

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages