Wadau wakubwa wa Kilimanajro Bia wakijadiliana namna ya mambo yatakavyoenda Uwanja wa Kirumba leo.
mashabiki na wapenzi wa Muziki wameshaanza kgia uwanjani na kila mtu ana kinywaji chake mkononi na ndio kiingilio chake.
Mashabiki wakingoja burudani Kirumba hii leo
Jamani leo ni vitu laini tu hapa Kirumba Mwanza na mambo ndio kama hivyo no chupa ni vijikopo tu
Jamaa ananiambia hapa haingii mtu bila kuponi ya Bia au Malta.Picha Zote Kwa Hisani Ya Mroki Mroki(Father Kidevu Blog)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)