Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik akimkaribisha Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati alipowasili katika uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Mwalimu julius Nyerere akitokea Addis Ababa nchini Ethiopia
alipokwenda kuhudhuria mkutano wa World Economic Forum(WEF)(picha na
Freddy Maro)
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)