Rais Jakaya Kikwete Akutana na David Beckham - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Rais Jakaya Kikwete Akutana na David Beckham

Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiteta jambo na Mwanasoka Nyota wa Uingereza David Beckham Walipokutana uwanja wa Ndege wa Heathrow Jijini London wakati Rais Jakaya Kikwete akiwa njiani kuelekea Washington DC Kwenye mkutano wa G8 Kwa Mwaliko Maalum kutoka kwa Rais wa Marekani Barack Obama,Pamoja na mambo mengine David Beckham ameonyesha nia ya kuja Kutalii Tanzania siku za karibuni na Rais Kikwete amemkaribisha kwa mikono miwili

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages