NBC yaipiga jeki Taasisi ya Sanaa za Maonyesho ya Ngoma Africa Performing Arts ya mjini Morogoro - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NBC yaipiga jeki Taasisi ya Sanaa za Maonyesho ya Ngoma Africa Performing Arts ya mjini Morogoro

Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Morogoro, Jasson Shumbusho (kulia) akikabidhi mfano wa hundi ya shs Milioni 5.1 kwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Sanaa za Maonyesho ya Ngoma Africa Performing Arts, Davie Kitururu ikiwa ni udhamini wa NBC katika tamasha la sanaa la watoto la Paukwa.Kushoto ni Mkurugenzi mwenza wa Taasisi hiyo, Bi. Maya Davie na wengine ni baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages