MWILI WA MCHEZAJI WA SIMBA MAREHEMU PATRICK MAFISANGO KUZIKWA LEO (LEMBA)DRC CONGO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MWILI WA MCHEZAJI WA SIMBA MAREHEMU PATRICK MAFISANGO KUZIKWA LEO (LEMBA)DRC CONGO

 Mwili wa mchezaji wa Simba Marehemu Patrick Mafisango umewasili nchini DRC Congo jana kwa mazishi ambapo leo ndiyo mazishi yanafanyika kama inavyoonekana katika picha ukiwa umewekwa tayari kwa ndugu jamaa na marafiki kuuagwa kabla ya kuuzika nyumbani kwao Lemba nje kidogo ya jiji la Kinshasa!.
 Ndugu na jamaa wakiwa katika msiba huo huko nchini DRC Congo
Hiki ndicho kibanda kilichojengwa maalum kwa ajili ya kuhifadhi mwili wa marehemu Patrick Mafisango kabla ya kuzikwa leo hii.Picha Kwa Hisani Ya Full Shangwe Blogu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages