Katibu Mkuu wa CCM,Wilson Mkama akizungumza na wana habari
Mbunge wa Ubungo Mh John Mnyika akizungumza
na waandishi wa habari wakati wa mkutano wa jumuiya ya madola kujadili
maswala ya Bunge, Serikali pamoja na vyama vya upinzani
Mgeni Mwalikwa katika Mkutano wa jumuiya ya Madola aliyekuwa Rais wa
Nchi ya Ghana Bw. Jerry Rawlings kushoto akizungumza na waandishi wa
habari Dar es salaam leo katika mkutano wa jumuiya ya madola kujadili
Bunge Serikali pamoja na vyama vya upinzani katika jumuiya hiyo





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)