Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Severin Tossi(kushoto) akipokea
Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Njombe John
Mahali .Mwenge wa Uhuru umepokelewa jana mkoani Ruvuma katika kijiji cha
Ngelenge wilaya ya Ludewa kabla haujaanza mbio zake mkoani Ruvuma.(Picha na Muhidin Amri Nyasa= Songea)
-






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)