Mjumbe
wa Shirika la Huduma za Kisheria(Legal Services Facility)ambaye pia ni
Balozi wa Denmark nchini,Bw. Johhny Flentoe(katikati)akimweleza Waziri
wa Katiba na Sheria Bw. Mathias Chikawe(kushoto)shughuli za shirika
hilo alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar Es Salaam mwishoni mwa
wiki. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika hilo Bi. Joaquine De
Mello.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)