Mkurugenzi
wa kampuni ya LINO Agency ambao ni waandaaji wa Shindano la Redds Miss
Tz Hashimu Lundenga katikati akizungungumza na warembo wanashiriki
shindano la Redds Miss IFM juu ya vigezo na taratibu za kumpata mshindi
kwenye fainali zinazotarajia kufanyika SINE Club jumamosi ya juma
hili,Kulia ni Mwandaaji wa Redds Miss Dar Inter College na kushoto Ni
afisa toka kamati ya Redds Miss Tanzania.
Msanii
wa musiki wa Kizazi kipya Diamondi akielezea namna alivyojiandaa
kufanya unyesho kubwa kwenye fainali ya Redds Miss IFM jumamosi ya juma
hili kwenye Ufukwe wa CINE CLUB kulia ni warembo wa shindano hilo Rosa
Damazo ,Waliosimama ni Teressia Issaya kulia na Caroline Dandu kushoto
na Mwalimu wao Estar Wilsoni
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)