MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA KITABU CHA ‘CHECKLIST OF TANZANIAN SPECIES - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA KITABU CHA ‘CHECKLIST OF TANZANIAN SPECIES

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kitabu cha ‘Checklist Of Tanzanian Species’, iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo Mei 22, 2012.
Baadhi ya wadau waliohudhulia uzinduzi huo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rasmi Kitabu cha ‘Checklist Of Tanzanian Species’ wakati wa hafla hiyo iliyofanyika Jijini Dar es Salaam leo Mei 22, 2012. Kushoto ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa (wa pili kulia) ni Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Sayansi na Teknolojia (Costech), Dkt. Hassan Mshinda.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyesha Kitabu cha ‘Checklist Of Tanzanian Species’ baada ya  kukizindua rasmi kitabu hicho wakati wa hafla iliyofanyika Jijini Dar es Salaam leo Mei 22, 2012. Kushoto ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa (kulia) ni Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Sayansi na Teknolojia (Costech), Dkt. Hassan Mshinda.
Baadhi ya wadau waliohudhulia uzinduzi huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsikiliza Meneja wa Shirika la TANBIF Node, Hulda Gideon, wakati alipotembelea sehemu ya maonyesho yaliyoandaliwa na Shirika hilo kwenye uzinduzi wa Kitabu cha ‘Checklist Of Tanzanian Species’ uliofanyika leo Mei 22, 2012 jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika Picha ya pamoja na wadau waliohudhuria uzinduzi huo.Picha Na Sufian OMR

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages