Makamu wa Rais Dk Gharib Bilal Akiteta Jambo na Makamu wa Rais wa For Conervation Policy - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Makamu wa Rais Dk Gharib Bilal Akiteta Jambo na Makamu wa Rais wa For Conervation Policy

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Makamu wa Rais wa For Conervation Policy kulia na Waziri wa Fedha wa Kenya Mhe. Robinson Njeru baada ya kumalizika kwa mkutano wa siku mbili kwa wakuu wa nchi za Afrika kuhusu maendeleo endelevu kwa nchi za bara la Afrika uliomalizika mjini Gaborone Botswana leo jioni.Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi ya Makamu wa Rais

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages