MADUKA YATEKETEA KWA MOTO NGARAMTONI HUKO ARUMERU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MADUKA YATEKETEA KWA MOTO NGARAMTONI HUKO ARUMERU

Leo katika eneo la Ngaramtoni wilayani Arumeru maduka 10 yenye mali inayokadiriwa kufikia thamani ya shilingi milioni 100 za kitanzania  yameteketea kwa moto chanzo kikiwa  ni hitilafu ya umeme,  hii ni mara ya pili kuungua kwa maduka ambapo mwezi jana maduka mengine yaliungua huku yakiwa na mali zenye thamani ya Milioni 200 
Kikosi cha kuzima moto katika jiji la Arusha kikiendelea na zoezi la kuzima moto uliokuwa ukiunguza maduka hapo Naramtoni Arumeru.Picha na Gladness Mushi wa Fullshangwe-Arusha

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages