Msaniii Sajuki Kabla ya Kuanza Kuugua
Msaniii Sajuki Alivyo Sasa
Ndugu
zangu Watanzania popote mlipo ulimwenguni tunaombwa kuisaidia familia ya Msanii Sajuki
hii kwa hali na mali kwa jinsi Mungu atakavyotubariki ili waweze
kujikimu na maisha yao ya kila siku ikiwa ni pamoja na kupata pesa za
matibabu ya Sajuki yanayotarajiwa kugharimu kiasi cha shilingi milioni
25 za kitanzania.
Kama
utaguswa kwa namna yoyote ile unaombwa kutuma mchango wako kupia
akauti ya benki ya Wastara au kwa m-pesa kwa namba nitakazozitaja hapa
chini.
AKIBA COMMERCIAL BANK,
ACC NO. 050000003047,
WASTARA JUMA
AU
KWA M-PESA NO. 0762 189592
*Asanteni sana kwa ushirikiano wenu Mungu awabariki na azidishe kila mtakapopunguza.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)