IGP SAID MWEMA NA MWENYEKITI WA SARPCCO NA KATIKA HAFLA YA KUAGANA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

IGP SAID MWEMA NA MWENYEKITI WA SARPCCO NA KATIKA HAFLA YA KUAGANA

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Said Mwema (kulia) na Mwenyekiti wa Shirikisho la wakuu wa Polisi kusini mwa Afrika (SARPCCO) ambaye pia ni Kamishna wa Polisi wa Nchi ya Afrika Kusini Nhlanhala Mkhwanazi wakiteta jambo wakati wa hafla fupi ya kumuaga baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili hapa nchini. (Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)
Mwenyekiti wa Wakuu wa Polisi Kusini mwa Afrika (SARPCCO) Nhlanhala Mkhwanazi (Kushoto) na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Said Mwema wakitoka katika ukumbi wa Hoteli ya Kempiski baada ya kumalizika kwa hafla fupi ya kumuaga Mwenyekiti huyo baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi ya siku mbili hapa nchini.Kulia ni Kamishna wa Operesheni Paul Chagonja
Mwenyekiti wa Wakuu wa Polisi Kusini mwa Afrika (SARPCCO) Nhlanhala Mkhwanazi (Kulia) akimkabidhi zawadi Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Said Mwema wakati wa hafla fupi ya kumuaga mwenyekiti huyo baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi ya siku mbili hapa nchini.(Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages